Habar za Usajili Simba

KUHUSU AZIZ KI KUTUA SIMBA MSIMU UJAO…AHMED ALLY AIBUKA NA HILI JIPYA…’ATAJA MUDA WA KULIPUA BOMU…’

admin June 18, 2022 10:41 am


Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amekiri kuwa uongozi wa klabu yake unafahamu na kuujadili uwezo wa nyota kutoka Burkina Faso, Aziz Ki hivyo lolote linaweza kutokea. 

Ahmed maezungumza hayo jana Juni 16, 2022, mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba na Mbeya City katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar na Wekundu hao kuibuka kidedea kwa bao 3-0. 

“Aziz Ki ni mchezaji mzuri, sisi kwenye vikao vyetu tunamjadili kama mchezaji ambaye tunamhitaji hivyo tusubiri muda utaongea,” alisema Ahmed. 

Nyota huyo anatajwa pia kumalizana na watani wa jadi wa Simba, Yanga SC.

DEO KANDA AANIKA YA MOYONI BAADA YA FIFA KUMPA KIBALI…ADAI KITOYOSCE FC NDIO WALIOMLETA BONGO…. STAA ANAYETAJWA KUTUA SIMBA ASHINDA TUZO SITA LIGI YA UGANDA…NI KIFAA HATARI NA NUSU AISEE..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply