Habari za michezo

KISA KUACHWA BILA SABABU ZA MSINGI….KOCHA YANGA AMPELEKA SAIDO NTIBAZONKIZA SIMBA…

admin June 19, 2022 2:20 am


Baada ya Said Ntibanzokiza kuachana na Yanga kocha wa makipa wa zamani wa timu hiyo Vladimir Niyonkuru raia wa Burundi ameweka wazi kuwa anatamani kumuona kiungo huyo akisaini Simba.

Saido mkataba wake ulimeguka Mei 30 na Yanga waliweka wazi kwamba wanamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ambayo atakuwa kwa wakati ujao.

Kocha huyo amesema:”Nimesikia kwamba Saido kuna timu ambazo zinamuhitaji ikiwa ni pamoja na Singida Big Star (zamani ilikuwa ni DTB) pamoja na Simba hivyo ningependa aweze kusaini Simba,” amesema.

Kwa sasa Saido yupo huru na amekuwa akitumika kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Burundi inayowania kuwania tiketi ya kufuzu Afon.

KUHUSU KOCHA MPYA SIMBA….JULIO ATUPA KOMBORA KWA UONGOZI…ADAI MATOLA ATASIKILIZWA ZAIDI…. KUDADEKI…SIMBA WAMALIZANA NA BEKI KATILI…AZIZ KI NA MORRISON WAIPA JEURI YANGA…MAJEMBE MENGINE KUTUA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply