Habari za michezo

MANARA: THAMANI HALISI YA FEI TOTO NI BILIONI MOJA….ANGALAUUU TUNAWEZA KUZUNGUMZA..HUTAKI ACHAA…

admin June 22, 2022 2:23 pm


Semaji la Yanga SC, Haji Manara amesema kiungo wao mshambuliaji Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kama timu ikimuhitaji, inatakiwa iweke mezani pesa zisizopungua shilingi bilioni 1.

Manara amefunguka hayo leo Juni 22, 2022 alipokuwa akizungumza na kituo kimoja cha habari cha jijini Dar.

“Mchezaji kama Feisal sasa hivi ana mkataba, inakuja Klabu labda kutoka South Afrika inakuletea ofa ya USD 50,000 au USD 100,000 hatuwezi kukataa kuzungumza naye huyu mtu.

“Hapa katikati zimekuja ofa za baadhi ya timu, hatuwezi kumuuza Feisal Chini ya Tsh. Bilioni 1 sawa na kama USD 500,000 hapo angalau tunaweza kuzungumza,” alisema Manara.

SALAH AFANYA KUFRU YA AINA YAKE KIJIJINI KWAO…AGAWA MILIONI NANE KWA KILA FAMILIA MASIKINI… KUHUSU MKATABA MPYA WA ONYANGO NA SIMBA…ACHANA NA STORI ZA MITAANI..ISHU NZIMA IKO NAMNA HII AISEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply