Home Habari za michezo WAKATI SIMBA WAKIDAI KUMALIZANA NAYE…YANGA WAIBUKA NA HILI TENA KUHUSU AZIZI KI…KAZE...

WAKATI SIMBA WAKIDAI KUMALIZANA NAYE…YANGA WAIBUKA NA HILI TENA KUHUSU AZIZI KI…KAZE APIGILIA NYUNDO…


Cedrick Kaze Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa hakuna mwalimu ambaye hatapenda kuwa na mchezaji kama Aziz KI kwa kuwa ni miongoni mwa wachezaji wazuri.

Nyota huyo anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya ASEC Mimosas ambapo alikuwa anatajwa pia kwenye rada za Simba.

Kaze amesema kuwa suala la usajili lipo mikononi mwa viongozi ambao wanajua kipi kinatakiwa nao wanafanya yale ambayo yanahitajika.

โ€œNina amini kwamba uongozi wa Yanga unajua mahitaji yaliyopo na wanafanya usajili mzuri kwa ajili ya wakati ujao kitaifa na kimataifa.

โ€œMchezaji Aziz KI nina amini kwamba hakuna mwalimu ambaye hatapenda kuwa naye kwani ni mzuri hivyo ikiwa mambo yatakamilika basi tutajua,โ€

SOMA NA HII  LEO NI LEO...TANZANIA vs ALGERIA....DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE ULE WA DStv NA KWA 'MTONYO' ULE ULE...