Habari za michezo

KISA UBINGWA WA LIGI KUU BARA…PITSO MOSIMANE ATAKA YANGA IWE MFANO AFRIKA…AGUSIE GWARIDE LA UBINGWA…

admin June 26, 2022 4:13 pm


ALIYEKUWA kocha mkuu wa Al Ahly ya Misri na Mamelod Sondown ya Afrika Kusini, Pitso Mosimane naye avunja ukimya kwa kuwasifia Yanga kwa namna ambavyo wamelipokea Kombe la Ligi kuu.

Mosimane ameutumia mtandao wa Twitter kuipongeza Yanga huku akizishauri klabu zingine za Afrika kufanya kile ilichokifanya Yanga katika shughuli zao za kulipokea Kombe la Ligi.

“Hongera sana Yanga, Afrika pia inaweza kufanya gwaride lao la kombe kama timu za Ulaya.Tunahitaji kuona zaidi ya gwaride hizi kwa sababu inaonyesha upendo na shauku ya wafuasi wa soka la Afrika.”

FT: TANZANIA PRISONS 1-0 SIMBA SC…KISASI CHALIPWA SOKOINE…JAHAZI LA SIMBA LAZIDI KUTITIA MIKOANI… KICHUYA AZIDI KUWA WA MOTO LIGI KUU….ATUPIA GOLI TATU MWENYEWE…JAHAZI LA MTIBWA LAZIDI KUZAMA LIGI KUU..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply