Habari za michezo

BREAKING NEWS….MRENO ZORAN MAKI AKABIDHIWA VIRAGO VYA PABLO MSIMBAZI….APEWA MKATABA MGUMU KULIKO….

admin June 28, 2022 6:29 pm

Klabu ya Simba imemtangaza rasmi, Zoran Manojlovic raia wa Ureno kuwa ndiye kocha Mkuu wa timu hiyo kwa sasa kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Zorana ambaye anakuja kurithi nafasi ya Mhispanola Franco Pablo anauzoefu mkuwa wa soka la Afrika, ambapo kwa mujibu wa Wikipedia Kazi yake ya mwisho ilikuwa kwenye klabu ya Al-Tai, ambapo hapo kabla pia alifundisha klabu ya CR Belouzdad, 

Pia kocha huyo anayesfika kwa soka la kushambulia kwa kasi na kujihami kwa pamoja, alizifudnisha klabu za Al-Hilal ya Sudani, Moghreb Tetouan, Wydad Casablanca ya Morocco pamoja na Sagrada ya Angola.

Mreno huyo anakuja kuifundisha Simba huku akiwa na jukumu la kukisuka upya kikosi cha mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu, pamoja na kuifanya timu hiyo kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika kwa msimu ujao.

Malengo mengine aliyopewa kocha huyo ni pamoja na kuipa timu hiyo ubingwa wa kombe la Azam Sports Federations kwa msimu ujao.

Kibarua cha kwanza cha Zoran kitakuwa ni katika mchezo wa Simba Day msimu ujao, ambapo mara baada ya hapo inatazamiwa atakutana na Yanga kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, endapo Yanga wakishinda kombe la shirikisho la Azam, .

HIVI NDIVYO KAMBOLE ALIVYOKOMBA MAMILIONI YANGA…MSHAHARA WAKE NI KUFURU YA FUNGA MWAKA… HATIMAYE KAFIKA…KOCHA WA VIWANGO ATUA SIMBA…YANGA WAMUWAHI NABI…APEWA MIWILI TENA…MORRISON ARUDI TZ…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply