Home Habari za michezo FT:MBEYA CITY 1-1 YANGA ….MAKAMBO ATUMA SALAMU KWA GSM KUWA BADO ANADAI…CITY...

FT:MBEYA CITY 1-1 YANGA ….MAKAMBO ATUMA SALAMU KWA GSM KUWA BADO ANADAI…CITY WAKATAA KUWA KICHAKA…


Wenyeji Mbeya City wamekataa kwa mara nyingine kuacha alama mbele ya Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 umemalizika kwa sare ya kufungana magoli 1-1.

Yanga ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Makambo kabla ya Ssetujju kusawazisha kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati.

Mbeya City walicheza kwa muda mrefu wakiwa pungufu baada ya Mpoki Mwakinyuke kuoneshwa kadi nyekundu.

SOMA NA HII  UONGOZI SIMBA WAFURAHISHWA NA MABADILIKO HAYA YALIYOFANYWA NA BENCHIKHA