Home Habari za michezo KISA KUKOSA UBINGWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA….AL AHLY WATEMANA ‘KIMTINDO’ NA PITSO...

KISA KUKOSA UBINGWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA….AL AHLY WATEMANA ‘KIMTINDO’ NA PITSO MOSIMANE…


Kocha Pitso Mosimane ameachana na Klabu ya Misri, Al Ahly siku chache baada ya kuukosa Ubingwa Klabu Bingwa Afrika mbele ya Wydad Casablaca ya Morocco.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu ya Al Ahly, imesema pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba.

Mosimane ameshinda mataji 5 tangu ajiunge na timu hiyo mwaka 2020 yakiwemo ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara 2, Egyptian Cup mara moja na Caf Super Cup mara mbili.

Hii hapa taarifa ya Klabu ya Al Ahly;

SOMA NA HII  KISA USAJILI WA RONALDO...AL-NASSR YAMFUKUZA MCHEZAJI MWEUSI...