Home Habari za michezo WAKATI LEO NI MECHI YAKE YA MWISHO NA JEZI NYEKUNDU…SIMBA WAMUAGA WAWA...

WAKATI LEO NI MECHI YAKE YA MWISHO NA JEZI NYEKUNDU…SIMBA WAMUAGA WAWA KWA ‘JIWE ‘HILI DHIDI YA MTIBWA…


Kikosi cha Simba kinashuka dimbani majira ya saa moja jioni, katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuwavaa Mtibwa Sugar, Mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Huo ni mchezo wa 28 wa Mabingwa hao wa msimu uliopita, huku tayari bingwa akiwa ameshapatikana kwa msimu huu.

Simba wanautumia mchezo huo kama sehemu ya kumuaga beki wao Sergi Pascal Wawa aliemaliza mkataba wake.

Kocha Matola amefanya mabadiliko makubwa kikosini huku akichukua wachezaji wa kikosi cha vijana.

Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;


SOMA NA HII  BETWAY SIGN UP CODE TANZANIA: CLAIM THE BONUS WITH "TZMAX"