Habari za michezo

UNAAMBIWA BAADA YA BWALYA NA WAWA…ANAYEFUATA KUAGWA SIMBA NI KAGERE..SABABU KUBWA NI HII HAPA….

admin July 1, 2022 3:38 am


Meddie Kagere mshambuliaji wa mabao ndani ya Simba anatajwa kuwa miongoni mwa mastaa ambao watapigwa chini ndani ya kikosi hicho.

Habari kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa tayari mabosi wa Simba wameanza mpango wa kusaka mbadala wa Kagere ili aweze kuingia moja kwa moja kikosini.

“Kwa sasa Simba inahitaji kuongeza mshambuliaji mwenye kasi na spidi hivyo mpango namba moja ni kuweza kumpa mkono wa shukrani Kagere,” ilieleza taarifa hiyo.

Msimu huu Kagere ambaye ametwaa tuzo ya ufungaji bora mara mbili ametupia mabao 7 ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Kaimu Kocha Seleman Matola. 

MPOLE AVUNJA UKIMYA…AITAJA SIMBA NA VITA YAKE NA MAYELE…BANGALA NA AUCHO KUKUNIKUSHA YANGA…. MORISSON AZIDI KUIANIKA SIMBA….AFUNGUKA A-Z TUHUMA ZA KUCHUKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE KAMBINI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply