Habari za michezo

RONALDO AICHOKA MAN UTD…AOMBA ASEPE FASTA…MASHABIKI WAMPA ZA ‘USO LIVE’….CHELSEA WANAMTAKA ETI…

admin July 3, 2022 2:53 pm


Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka Manchester United ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya taarifa kuwafikia baadhi ya mashabiki wa timu yake wakasema ‘muacheni aende’

United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki Europa League. Sababu nyingine inayotajwa kumuondoa Ronaldo (37) ni United kushindwa kufanya usajili mzuri kwa ajili ya msimu ujao.

Baadhi ya mashabiki wa United wametumia mitandao ya kijamii kusema klabu imruhusu aondoke. Anatajwa kuwaniwa na Chelsea na Bayern Munich.

PAMOJA NA KUWA NA KESI YA KUJIBU DHIDI YA KARIA….MANARA AIBUKA NA MAMBO YA SLOGAN…ATAKA SERIKALI IINGILIE KATI.. SIKU CHACHE BAADA YA KUTEMWA NA SIMBA…PABLO AIBUKA NA HILI KUHUSU KIBU NA SAKHO…ATAKA KURUDI TENA BONGO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply