Geita Gold FC

IMEFICHUKA…KUMBE MAGOLI 17 YA MPOLE KWENYE LIGI YANA SIRI NZITO NYUMA YAKE…MIPANGO YOTE ILIKUWA HIVI…

admin July 4, 2022 9:03 am


FRED Felix Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold, amebainisha wazi sababu kubwa ya mshambuliaji George Mpole kufunga mabao 17 ni kutimiza majukumu aliyopewa.

Mpole ni mzawa aliyeibuka kinara wa mabao Ligi Kuu Bara 2021/22 akimpoteza Fiston Mayele wa Yanga raia wa DR Congo mwenye mabao 16.

Minziro alisema: “Tulikuwa tunahitaji pointi tatu kwenye mechi zetu, ili uzipate ni lazima ufunge mabao, hicho ndicho ambacho alikuwa anafanya Mpole akishirikiana na wenzake.

“Kuanzia kwenye uwanja wa mazoezi, huko mipango ilikuwa inapangwa na furaha yetu ni kuona kila mchezaji anafanya vizuri, mwisho wa siku tunaona kafanya kile ambacho amekifanya ni furaha kwa kila mmoja.”

KAMA ULIKUWA HUJUI…HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA ZA MORRISON KUSAINI YANGA JANA… WAKATI MOTO WA USAJILI YANGA UKIZIDI KUNOGA….MSUVA ABAKISHWA DAR KILAZIMA…AWEKEWA MEZANI MILIONI 150…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply