Habari za michezo

AHMED ALLY: AL AHLY, MAMELOD, ZAMALEKH NA MAZEMBE WANASUBIRI KWA HAMU KUJUA USAJILI WETU MSIMU HUU…

admin July 7, 2022 4:44 pm


Ahmed Ally; ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba ambaye anasema muda si mrefu timu hiyo itaanza kushusha wachezaji wapya ambao tayari imewasajili.

Ahmed Ally anasema; “Tumeshamaliza kukisuka kikosi chetu. Wote tuliowahitaji wapo kwenye makaratasi yetu, muda si muda tutaanza kushusha vyuma.

“Al Ahly, Raja, Mamelod, Mazembe, Zamalekh, Wydad wanasubiri kwa hamu kuona tumesajili nani maana tutakutana nao kwenye Makundi ya Champions League Insha Allah.

“Mashabiki wa Simba SC kuleni Sabasaba kwa amani, kuleni Eid vizuri mwenye kuchinja na achinje na baada ya hapo mtafurahi…”

PAMOJA NA KUTAMBULISHWA ….KOCHA MPYA SIMBA KUTUA MISRI…AHMED ALLY AFICHUA MPANGO WOTE ULIVYO… LEO SASA….JIJI LITASIMAMA TENA…AZIZ KI, MIDO WA ULAYA WANATUA YANGA KIBABE…SIMBA WANASA FOWADI MNIGERIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply