Klabu ya Yanga imetoa tamko kuhusu adhabu aliyopewa Manara na kusema hajatendewa haki hivyo inamuunga mkono kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi kimamlaka.
βHii inakwenda kuathiri moja kwa moja mchango wake katika maendeleo ya soka katika klabu yake, Ligi ya Zsnzibar, Ligi Kuu Tanzania Bara hadi nchi za jirani (Burundi) ambazo amezihudumu katika nyadhifa mbalimbali….β