Habari za michezo

BAADA YA MANARA KUHUKUMIWA JANA….YANGA WASHINDWA KUJIZUIA…WATOA TAMKO ZITO….WAAPA KUCHUKUA HATUA…

admin July 22, 2022 9:12 am


Klabu ya Yanga imetoa tamko kuhusu adhabu aliyopewa Manara na kusema hajatendewa haki hivyo inamuunga mkono kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi kimamlaka.

“Hii inakwenda kuathiri moja kwa moja mchango wake katika maendeleo ya soka katika klabu yake, Ligi ya Zsnzibar, Ligi Kuu Tanzania Bara hadi nchi za jirani (Burundi) ambazo amezihudumu katika nyadhifa mbalimbali….”


HII HAPA ORODHA YA WASHINDI WOTE WA TUZO ZA CAF JANA USIKU…SENEGAL WATAWALA MWANZO MWISHO…. RASMI….SIMBA NA VIPERS WAMALIZANA SAKATA LA KUMSAJILI MANZOKI…KITUO KINACHOFUATA NI HIKI HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply