Habari za michezo

ZA NDAANI KABISAAA….’MASTA’ MAKI ABARIKI MUGALU KUPUNGUZWA SIMBA….MAMBO YOTE YALISUKWA HIVI….

admin July 26, 2022 1:52 pm


Klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri Mshambuliaji Chris Mugalu baada ya Kushindwa kumshawishi Kocha Zoran Maki.

Kocha Zoran Maki ndie aliepewa jukumu la kupunguza Mshambuliaji mmoja kwenye Kikosi hicho kati ya Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Hivyo ameona aendelee Kusalia na Meddie Kagere huku akiwaambia viongozi kuwa Chris Mugalu aondolewe.

Mugalu tayari ana ofa mbalimbali ambazo amezipata kama Klabu ya Kiyovu ya Rwanda ilituma ofa ya Kumtaka.


MANARA AENDELEA ‘KUMPOPOA’ RAIS WA TFF….ADAI ALIMPIGIA MAKELELE MBELE ZA WATU….AFUNGUKA ISHU YA MTU KUFA…. ULE MZIGO WA PAZIA UNAENDELEA KURINDIMA MUBASHARA NDANI YA DStv…..CHAKUFANYA NI KUSELELEKA NAO VILE VILE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply