Home Burudani SAKATA LA MANARA NA TFF…TUNDAMAN ACHOCHEA KUNI JIKONI…AIBUKA NA HILI JIPYA…”AFUNGWE TU...

SAKATA LA MANARA NA TFF…TUNDAMAN ACHOCHEA KUNI JIKONI…AIBUKA NA HILI JIPYA…”AFUNGWE TU ..AMEZIDI SANA”…


Tundaman ameibuka na kutoa maoni yake kuwa, suala la aliyekuwa msemaji wa Simba Haji Mnara kufungiwa kwake anaona ni sawa kabisa.

Tunda ambaye ni shabiki wa Simba kindakindaki, amesema Manara afungiwe maana amezidi kuwa mzungumzaji sana.

“Afungiwe tu amezidi kuongea sana,” alisema Tundaman.

Msanii huyo amesema wao kama Simba, hawajaumia Manara kuondoka kwenye timu yao kwani yeye hakuwa mchezaji kwamba atafunga au kupiga krosi.

SOMA NA HII  MASOUD DJUMA AANZA KUTOA SABABU DODOMA JIJI...ANADAI HAIPENDI TIMU....AITAJA SIMBA SC..