Home Habari za michezo SIKU KADHAA BAADA YA YANGA KUZINDUA JEZI…SIMBA WAIBUKA NA KUTAMBA KUHUSU JEZI...

SIKU KADHAA BAADA YA YANGA KUZINDUA JEZI…SIMBA WAIBUKA NA KUTAMBA KUHUSU JEZI ZAO..WADAI ZINATOKA ULAYA…


Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema Klabu yao itazindua jezi zake za msimu mpya wa mwaka 2022/23 wiki inayoanza kesho Jumatatu na kwamba zitatoka Barani Ulaya na si China tena kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

“Simba ndio tumekuwa wa kwanza kuanzisha mambo makubwa. Acha wengine waige mambo yetu mazuri, sisi hatutaiga mambo yao mabaya.

“Kuhusu jezi msimu huu tumeacha kwenda kule hung haa (China), sasa jezi zetu zinatoka Ulaya,hazitoki tena Asia. Wiki hii tunazindua,” amesema Mangungu.

SOMA NA HII  HAJI AIBUKA NA LINGINE YANGA...AUTAJA UBINGWA WA SIMBA SC