Home Habari za michezo WAKATI WENZAKE WAKIIKIMBILIA YANGA…BEKI KITASA APANGA KUSEPA JANGWANI…ISHU KUBWA NI PAMOJA NA...

WAKATI WENZAKE WAKIIKIMBILIA YANGA…BEKI KITASA APANGA KUSEPA JANGWANI…ISHU KUBWA NI PAMOJA NA HILI KUMBE…


Beki wa pembeni Yassin Mustafa huenda akatimka Young Africans na kujiunga na klabu moja wapo itakayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao 2022/23.

Yassin anahusishwa kuwindwa na klabu za Polisi Tanzania, Ihefu FC, Dodoma Jiji FC na Singida Big Stars (SBS), katika kipindi hiki cha Dirisha la Usajili kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara.

Beki huyo aliyejiunga na Young Africans misimu miwili iliyopita akitokea Polisi Tanzania, anapewa nafasi kubwa ya kuondoka Jangwani, kufuatia kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha klabu hiyo.

Licha ya kuwa FIT nafasi ya Beki wa Kushoto Young Africans, imekua ikijazwa na Farid Musa na Kibwana Shomary ambao kiasili sio wachezaji wanaocheza nafasi hiyo.

Kwa mtazamo huo Yassin ataendelea kuwa na wakati mgumu wa kucheza kikosi cha kwanza cha Young Africans msimu ujao, hivyo ameanza kusaka namna ya kuondoka ili apate nafasi ya kucheza mara kwa mara na katika kikosi cha kwanza.

Mchezaji mwingine anayepewa nafasi kubwa ya kuondoka Young Africans anayecheza nafasi ya Beki wa Kushoto ni David Bryson, aliyesajiliwa mwanzoni mwa msimu uliopita 2021/22 akitokea KMC FC.

SOMA NA HII  KIPIGO KUTOKA EVERTON CHAMTIA WAZIMU RONALDO...AKWAPUA SIMU YA SHABIKI NA KUIVUNJA....

1 COMMENT

  1. Ꮃe aгe a group of volunteers ɑnd starting a
    neѡ scheme in our community. Үour site provided us witһ valuable іnformation how to buy cheap mobic prices
    work on. You’ve ⅾοne an impressive job and ß‹ur entire community
    will be grateful to yoᥙ.