Home Habari za michezo ZA NDAANI KABISAAA….’MASTA’ MAKI ABARIKI MUGALU KUPUNGUZWA SIMBA….MAMBO YOTE YALISUKWA HIVI….

ZA NDAANI KABISAAA….’MASTA’ MAKI ABARIKI MUGALU KUPUNGUZWA SIMBA….MAMBO YOTE YALISUKWA HIVI….


Klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri Mshambuliaji Chris Mugalu baada ya Kushindwa kumshawishi Kocha Zoran Maki.

Kocha Zoran Maki ndie aliepewa jukumu la kupunguza Mshambuliaji mmoja kwenye Kikosi hicho kati ya Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Hivyo ameona aendelee Kusalia na Meddie Kagere huku akiwaambia viongozi kuwa Chris Mugalu aondolewe.

Mugalu tayari ana ofa mbalimbali ambazo amezipata kama Klabu ya Kiyovu ya Rwanda ilituma ofa ya Kumtaka.


SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI