Home Uncategorized POGBA NOMA, KUPELEKA NYOTA WAWILI NDANI YA UNITED

POGBA NOMA, KUPELEKA NYOTA WAWILI NDANI YA UNITED

REAL Madrid wajanja sana wameamua kuwapa wachezaji wawili mabosi wa Manchester United ili kuipata saini ya kiungo wao Paul Pogba.

Imeelezwa kuwa Madrid kwa sasa inahaha kuipata saini ya nyota huyo ambaye anawindwa pia na klabu yake ya zamani ya Juventus.

Madrid wapo tayari kutoa kiasi cha fedha cha pauni milioni 70 pamoja na wachezaji wawili ambao ni Gareth Bale na Toni Kroos endapo watapewa mchezaji mmoja ambaye ni Pogba.

SOMA NA HII  KOCHA SIMBA APATA TIMU YA KUFUNDISHA AFRIKA KUSINI