Habari za michezo

MORRISON AENDELEA KUKIWASHA YANGA…VITUKO NA MANJONJO YAKE VYAZIDI KUWA KEROO..

admin August 4, 2022 1:59 pm


KIUNGO wa Yanga,Bernard Morrison raia wa Ghana leo Agosti 4 inakuwa ni siku yake ya tatu ya mazoezi.

Kwa sasa yupo kambini Avic Kigamboni chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi huku kocha wa viungo akiwa ni Helmy Gueldich ambaye.

Kocha wa viungo amesema kuwa kabla ya kujiunga na timu kambini alikuwa amepewa mazoezi ya kufanya hivyo kwa sasa anaendelea na mazoezi mengine kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23.

Akiwa kambini anatajwa kuwa mchezaji mwenye vituko vingi na utani wake ambapo neno ambalo anapenda kulitumia ni ‘Jamani Jamani nimerudi’.

Nyota huyo amerejea kwa mara nyingine akitokea ndani ya Simba ambapo mkataba wake ulimeguka msimu huu wa 2021/22.

MWAIKIMBA ASIMULIA ALIVYOLAMBA MILIONI 58 ZA M-BET TANZANIA KIULAINII…KITAMBULISHO CHA NIDA KILIMCHELEWESHA… KUELEKEA KUANZA KWA LIGI KUU…NABI AMNYOOSHEA KIDOLE SHABANI DJUMA…ADAI HAKUWA BORA …ALIKUWA KIBONGE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply