Habari za michezo

#SIKUYAWANANCHI:…YANGA WADHIHIRISHA UKUBWA WAO…..MASHABIKI WAFURIKA ‘POMONI’ KWA MKAPA…TAMBO ZATAWALA…

admin August 6, 2022 1:49 pm


Kadiri muda unavyozidi kusogea ndivyo ambavyo Mashabiki wa Dar Young Africans wanavyozidi kumiminika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha siku ya Mwananchi.

Japokuwa hapo awali mwamko wa mashabiki ulionekana ni mdogo lakini hali ilivyo mpaka kufikia mida ya saa nane mchana tayari Uwanja umetapika.

Kwa sasa inafuata mechi ya Kirafiki kati ya Yanga Princess dhidi ya Ilala Queens, na majira ya saa moja usiku ni Yanga dhidi ya Vipers SC.

WAKATI YANGA WAKIMUALIKA KINANA….SIMBA WAMUALIKA RAIS WA CAF KWENYE SIMBA DAY…KARIA WA TFF ATOA TAMKO… YANGA WAAIGA SIMBA MASHARTI YA MIKATABA KWA MAKOCHA…NABI APEWA MAGUMU ZAIDI…AKISHINDWA ‘KUTUMBULIWA JIPU’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply