Habari za michezo

ISHU YA JEZI MPYA …SIMBA WAIBUKA NA HOJA HII TENA..WATAJA MUDA NA MAHALI ZITAKAPOPATIKANA…

admin August 7, 2022 7:19 am


Baada ya sintofahamu ya siku kadhaa kuhusiana na suala la Jezi mpya za Msimu 2022/23 za wekundu wa Msimbazi Simba kuelekea kilele cha Tamasha la Simba Day, hatimaye kitendawili hicho kinateguliwa leo Agost 7, majira ya saa tano asubuhi.

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Klabu ya Simba imetoa taarifa inauomaliza maswali yote yanayohusiana na jezi mpya ya msimu wa 2022/23.

Simba SC imeandika;

“Jezi bora kuanzia ubunifu hadi namna ilivyotengenezwa imefika. Hii haijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati.

Saa 5:00 asubuhi tutazindua jezi na muda huo zitaanza kuuzwa kwenye duka la Vunja Bei Sinza Madukani”.

‘UMC’ WA VICHORONI WA MANARA WAMTIA MATATIZONI RAIS WA YANGA….TFF WAMFUNGULIA MSHITAKA HAYA… KISA ‘UMC WA MCHONGO JANA’…MKUU WA WILAYA AMTETEA MANARA…ADAI KAZI ALIYOFANYA HAIPO TFF…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply