Habari za michezo

‘UMC’ WA VICHORONI WA MANARA WAMTIA MATATIZONI RAIS WA YANGA….TFF WAMFUNGULIA MSHITAKA HAYA…

admin August 7, 2022 7:00 am


TFF imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said & Haji Manara.

Manara anashtakiwa kwa kutoheshimu adhabu aliyopewa ya kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili.

Hersi anashtakiwa kwa kushindwa kuhakikisha Yanga inaheshimu uamuzi huo.

“Manara alifungiwa kujihusisha na shughuli yoyote ya mpira wa miguu lakini ameshindwa kutekeleza adhabu hiyo, naye Hersi amekwenda kinyume na katiba ya TFF na Yanga,” imesema sehemu ya Taarifa hiyo.


MFAHAMU STAA MKUBWA WA SOKA DUNIAN ANAYELIPWA BILION 26 LAKINI BADO ANAISHI KWA WAZAZI WAKE… ISHU YA JEZI MPYA …SIMBA WAIBUKA NA HOJA HII TENA..WATAJA MUDA NA MAHALI ZITAKAPOPATIKANA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply