Burudani

KISA MANDONGA KUPEWA MADILI YA PESA NA UMAARUFU…SHABANI KAONEKA ALIA…ADAI YEYE ALIYESHINDA NI MASKINI…

admin August 9, 2022 3:37 pm


Bondia wa ngumi nchini, Shabani Kaoneka amewalalamikia waandishi wa habari kuwa wanaegemea upande wa bondia Karim Mandonga na kumpa fursa mbalimbali licha ya kuwa yeye ndiye mshindi wa pambano.

“Yule amepata bahati kuliko mimi, kwa sababu hata nyie waandishi wa habari wakati mwingine mnakuwa wanafiki, mkimuona Kaoneka kaalikwa kwenye sehemu ndio mnasogea lakini mbona Mandonga mnamfanyia ‘suprise’ nyingi mnamuita twende sehemu hii na hii,?” amehoji Kaoneka.

Kaoneka ameongeza kuwa “mimi niliyeshinda nakuwa masikini, aliyepigwa anakuwa tajiri, mimi najisikiaje?

WAKATI MASHABIKI WAKIWA NA SHAKA NA KIWANGO CHA SIMBA JANA….KOCHA WA ST GEORGE  AIBUKA NA HAYA MAPYA… KESHO NI MUENDELEZO WA SOKA LA KIBABE LAKINI SAFARI HII LINALADHA YA KIBINGWA ZAIDI…MZIGO WOTE HUU NI DStv PEKEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply