Habari za michezo

KESHO NI MUENDELEZO WA SOKA LA KIBABE LAKINI SAFARI HII LINALADHA YA KIBINGWA ZAIDI…MZIGO WOTE HUU NI DStv PEKEE…

admin August 9, 2022 4:48 pm

Inakwenda kuwa Jumatano ya Kibabe sana kwa wapenzi wa #Soka ambapo wote tutaelekeza mawazo na macho yetu kwenye mtanange wa Real Madrid dhidi ya Frankfurt katika fainali ya UEFA Super Cup.


Uhondo ni kuwa kupitia kifurushi cha Poa 9,900/= tu utapata kutazama Live mechi hii ndani ya @dstvtanzania pekeee.
 Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#MsimuWaSokaLaKibabe
KISA MANDONGA KUPEWA MADILI YA PESA NA UMAARUFU…SHABANI KAONEKA ALIA…ADAI YEYE ALIYESHINDA NI MASKINI… SIKU KADHAA TOKA WATAMBULISHWE KUKIPIGA NA SINGIDA BIG STARS…PLUIJM AIBUKA NA HOJA KWA WABRAZILI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply