Habari za michezo

KUELEKEA MECHI NA YANGA KESHO KUTWA….KOCHA SIMBA AINGIA UBARIDI..ADAI LAZIMA JAMBO LITOKEE SIKU HIYO…

admin August 10, 2022 5:13 pm


Kocha Mkuu wa Simba Zoran Maki ameweka wazi kuwa anaamini kwamba watapata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga kutokana na maandalizi na hana hofu na mechi hiyo.

Maki ambaye ni mrithi wa mikoba ya Pablo Franco aliyefungashiwa virago Mei 31, mwaka huu, kete yake ya kwanza itakuwa dhidi ya Yanga, Agosti 13 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii katika Uwanja wa Mkapa, Dar.

Maki alisema kuwa anatambua kuhusu ratiba ilivyo na mechi kubwa ambazo atakutana nazo ikiwa ni pamoja na mchezo dhidi ya Yanga.

“Kikubwa ni kuheshimu kila mchezo, najua kwamba kuna Dabi hilo lipo wazi na hata ambapo nilikuwa kulikuwa na jambo kama hili hivyo sina mashaka na mchezo wetu dhidi ya Yanga kikubwa ni maandalizi mazuri.” Alisema Maki.

BAADA YA MASHABIKI SIMBA KUANZA MINONG’ONO KUHUSU UWEZO WA DEJAN…MAKI AIBUKA NA UTETEZI HUU NA NINI KILITOKEA… POLISI TZ WAIKALIA YANGA KOONI KUELEKEA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU…WAKUMBUSHIA KIPIGO CHA VIPERS…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply