Home Habari za michezo ZILE SARAKASI ZA ADEBAYOR…ZAISHIA KWA WARAABU…ATUA TIMU ILIYOMALIZA KIPAJI CHA CHAMA…

ZILE SARAKASI ZA ADEBAYOR…ZAISHIA KWA WARAABU…ATUA TIMU ILIYOMALIZA KIPAJI CHA CHAMA…


Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco imekamilisha usajili wa mshambuliaji Victorien Adebayor (25) raia wa Niger akitokea Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN).

Nyota huyo aliyekuwa akiwania pia na Klabu ya Simba, amesaini kandarasi ya miaka minne (4) ya kuwatumikia mabingwa hao wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Adebayor ndiye mfungaji Bora wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika Msimu wa mwaka 2021/2022 akiwa na mabao sita.

SOMA NA HII  MAMBO NI MOTO USAJILI MPYA YANGA....INJINIA HERSI ATUA RWANDA KUFUATA KIFAA CHA KAZI KAZI...