Habari za michezo

ACHANA NA STORI ZA UZUSHI….HUU HAPA UKWELI KUHUSU MUGALU NA TIMU YAKE MPYA…LWANGA BADO SANA…

admin August 12, 2022 3:15 am


Aliyekua mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Chriss Mugalu (31) amejiunga na timu ya jeshi la anga la Iraq, Al Quwa Al-Jawaiya ambayo inashiriki ligi kuu nchini humo.

Mugalu ambaye ni raia wa Congo DR ni moja ya wachezaji walioachwa na Simba hivi karibuni baada ya pande zote mbili kufikia makubaliani.

Mugalu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuwatumia wajeda hao wenye maskani yao katika wilaya ya Rusafa, Baghdad.

Wengine waliotemwa pamoja na Mugalu ni Medie Kagere ambaye tayari amesajiliwa na Singida Big Stars na Thadeo Lwanga ambaye bado hajajulikana anakwenda wapi.

SAKATA LA YANGA KUTOALIKWA MKUTANO WA CAF ….TFF WAIBUKA NA MAJIBU HAYA YA ‘KIBABE’…WAJIVUA KOTI MAPEMA TUU… KISA YANGA vs SIMBA KESHO…OKRAH ATAMBA HIZI NDIO MECHI ZAKE…MASTAA YANGA WAPIKIWA MSOSI MAALUMU KAMBINI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply