Habari za michezo

SAKATA LA YANGA KUTOALIKWA MKUTANO WA CAF ….TFF WAIBUKA NA MAJIBU HAYA YA ‘KIBABE’…WAJIVUA KOTI MAPEMA TUU…

admin August 12, 2022 3:12 am


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaomba wadau kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu mialiko ya Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) uliofanyika jana nchini Tanzania.

Mkutano huo wa 44 wa CAF uliofanyika jijini Arusha uliandaliwa na Shirikisho hilo, na TFF ilikuwa mwenyeji.

Wajumbe wa Mkutano huo wametajwa katika Katiba ya CAF, na waalikwa wengine nao wanaalikwa na Shirikisho hilo na si TFF kama inavyopotoshwa.

Nafasi ya TFF ilikuwa ni kutafuta mgeni rasmi wa kufungua Mkutano huo, si vinginevyo.

Ukiondoa Kamati ya Ndani ya Maandalizi (LOC), washiriki wengine wote walialikwa na CAF yenyewe.

KWA TAARIFA YAKO….HIZI HAPA NDIO TIMU RASMI ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO MIPYA YA CAF SUPER LEAGUE…. ACHANA NA STORI ZA UZUSHI….HUU HAPA UKWELI KUHUSU MUGALU NA TIMU YAKE MPYA…LWANGA BADO SANA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply