CAF

KWA TAARIFA YAKO….HIZI HAPA NDIO TIMU RASMI ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO MIPYA YA CAF SUPER LEAGUE….

admin August 12, 2022 3:06 am


Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo Agosti 10,2022 limezindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8

CAF imepitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania

Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania

Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.

Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni

Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League

1 Al Ahly 

2 Zamalek

3 Pyramid 

4 Al Masry

5 Wydad AC 

6 Raja Athletic 

7 RS Berkane 

8 Esperance 

9 Etoil Sportive Du Suhel 

10 Orlando Pirates 

11 Kaizer Chiefs

12 Mamelodi Sundowns

13 JS Kabyile

14 CR Belouzidad 

15 E.S Setif 

16 TP Mazembe 

17 Horoya AC 

18 SC Enyimba

19 Petro de Luanda

20 Simba SC 

21 Asante Kotoko

22 Al Hilal 

23 Asec Mimosas

24 Coton Sport

KUELEKEA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA….KOCHA MAKI AMNYOONYESHA KIDOLE HABIB KYOMBO… SAKATA LA YANGA KUTOALIKWA MKUTANO WA CAF ….TFF WAIBUKA NA MAJIBU HAYA YA ‘KIBABE’…WAJIVUA KOTI MAPEMA TUU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply