Habari za michezo

ABDI BANDA AKINUKISHA LIGI KUU AFRIKA KUSINI…AWAONYESHA KAZI CHAFU ORLANDO PIRATES…

admin August 16, 2022 6:02 pm


Beki wa Kimataifa wa Tanzania Abdi Banda anaeichezea klabu ya Chippa United ya nchini Afrika ya Kusini amefunga bao lililoipa ushindi klabu yake dhidi ya Klabu Kubwa ya Orlando Pirates.

Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Afrika ya Kusini iliamuliwa na goli la lala salama la Banda alilofunga dakika ya 85 na kuihakikishia Chippa United kuondoka na alama tatu.

Banda amewahi kuvichezea vilabu mbali,bali ndani na nje ya nchi kama vile Simba SC, Mtibwa lakini pia amewahi kucheza Afrika ya Kusini klabu ya Baroka FC.

RASMI….SIMBA WAACHANA NA MANZOKI….WAAMUA KUKOMAA NA ‘MZUNGUU’..WADAI DILI HALIKO WAZI PANDE ZOTE… HUYU HAPAA….BAADA YA TAARIFA ZA KUTOKUWA NA TIMU KUSAMBAA….GEORGE MPOLE AONEKANA DAR …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply