Geita Gold FC

HUYU HAPAA….BAADA YA TAARIFA ZA KUTOKUWA NA TIMU KUSAMBAA….GEORGE MPOLE AONEKANA DAR …

admin August 16, 2022 6:06 pm


Baada ya sintofahamu ya taarifa ya mshambuliaji wa @Geitagoldfc George Mpole kusambaa mitandaoni ikisema amegoma kuungana na timu hiyo na mkataba wake umekwisha, mchezaji huyo ameonekana mazoezini na matajiri hao wa dhahabu katika maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya @simbasctanzania utakaopigwa siku ya kesho Agosti 17, 2022 katika Dimba la Mkapa.

ABDI BANDA AKINUKISHA LIGI KUU AFRIKA KUSINI…AWAONYESHA KAZI CHAFU ORLANDO PIRATES… KIPIGO CHA 4-0 KUTOKA BRIGHTON CHAWAINUA MASHABIKI MAN UTD…WIBUKA NA MSIMAMO HUU MKALI KWA WENYE TIMU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply