Habari za michezo

FT: TANZANIA 0-1 UGANDA… TAIFA STARS NJIA PANDA KUFUZU CHAN 2023….YAJICHONGEA NJIA YA MOTO KAMPALA…

admin August 28, 2022 3:41 pm


TIMU ya Taifa Stars imejiweka njia panda kufuzu Michuani ya Wachezaji wa ndani (CHAN) mashindano yatakayofanyika nchini Algeria 2023 baada ya kuchapwa bao 1-0 na Uganda mchezo uliopigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa  jijini Dar es Salaam.

Akitokea benchi Mshambuliaji Travis Mutyaba aliwanyamazisha Watanzania waliohudhuria mechi hiyo dakika ya 87 baada ya kuchachafya ngome ya Taifa Stars.

Tanzania inahitaji kwenda kupindua meza mnamo tarehe 3 Septembar mwaka huu katika uwanja wa St.Mary nchini Uganda timu hizo zitarudiana

MALUE LUE YA KIFO YAZIDI KUMVURUGA TYSON…AANZA KUOMBA MSAMAHA ALIOWAKOSEA,…AFUNGUKA ISHU YAKE NA EVANDER.. NABI APEWA MCHONGO MPYA CAF…ZAHERA AFUNGUKA MAZITO YANGA… STRAIKA MZUNGU WA SIMBA ‘KINA BANDA’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply