Habari za michezo

RASMI….BOCCO NA SIMBA MAMBO YAMEFIKIA KIKOMO…ATETA NA MABOSI KUYAMALIZA…

admin August 29, 2022 4:37 pm


Nahodha wa Simba, John Bocco ameiwahi Al Hilal baada ya kuwasili nchini Sudan ambapo wameenda kucheza mechi za kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu NBC.

Simba jana wamecheza mechi yao yua kwanza dhidi ya Asante Kotoko na kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 huyku kocha msaidizi Seleman Matola akifunguka kuwa ni kipimo kizuri kwao huku akikiri kuwa yametoa nafasi ya kumsaidia kocha mkuu kupata picha harisi ya timu nzima.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kiliiambia kimedai kuwa Bocco ambaye amejiunga na kambi hiyo jana alishindwa kuongozana na wenzake kutokana na kuwa na kikao na viongozi.

“Bocco katua jana akiwa peke yake hakuweza kuambatana na wenzake kutokana na kuwa na kikao na viongozi natumai mambo yake yamekamilika ndio maana ameungana na timu” kilisema chanzo hicho.

PAMOJA NA KUPATA USHINDI MKUBWA JANA….MATOLA AVUNJA UKIMYA  SIMBA…AFUNGUKA MAMBO YALIVYOKUWA UWANJANI.. NABI AIFANYIA UNAFIA AZAM…WENYEWE WAINGIA MCHECHETO …HENOCK INONGA NAOIATTARA WAMVURUGA KOCHA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply