Home Habari za michezo BAADA YA KUWAONA YANGA KWENYE VIDEO….KOCHA SIMBA KAGUNA KISHA AKATOA KAULI HII...

BAADA YA KUWAONA YANGA KWENYE VIDEO….KOCHA SIMBA KAGUNA KISHA AKATOA KAULI HII KWA UPOOLEEH…


Akiwa anajua kabisa Agosti 13 ana kibarua kizito mbele ya Yanga katika Dimba la Benjamin Mkapa, Kocha wa Simba Zoran Maki ameshapokea faili la wapinzani wake kitambo sana.

Yanga ambayo ilikutana mara nne na Simba SC msimu uliopita ikisuluhu mi chezo miwili na kushinda michezo miwili, ukiwemo wa ngao ya hisani tayari video zake zipo mbele ya Zoran Maki kwa kazi maalum.

“Katika kufahamu umuhimu wa mchezo na Yanga nimetenga muda wa kutosha kuangalia baadhi ya mechi zao za msimu uliopita ikiwemo zile nne zote ambazo walicheza na sisi,” alisema Zoran na kuongeza;

“Ninazo taarifa zao na nafahamu vitu vingi kutoka kwao vya msimu uliyopita baada ya kuangalia mechi kupitia runinga pamoja na vile ambavyo wapo msimu huu.

SOMA NA HII  TETESI: BAADA YA KULAMBA SHAVU POLISI TZ....ZAHERA AMKUMBUKA MAKAMBO......