Home Habari za michezo KISA SIMBA NA YANGA ..SENZO KWA MARA YA KWANZA AIBUKA NA MSIMAMO...

KISA SIMBA NA YANGA ..SENZO KWA MARA YA KWANZA AIBUKA NA MSIMAMO HUU KUHUSU SOKA LA TZ…


Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga SC Senzo Mbatha, amesema kwa sasa hana mpango wa kufanya kazi nchini baada ya miaka mitatu ya utumishi wake kwenye vilabu vya Simba na Yanga kwa nyakati tofauti.

Senzo alimaliza mkataba wake na Yanga Julai 31 mwaka huu na hakutaka kuongeza Mkataba na klabu hiyo.

Senzo alikuepo Jijini Arusha alipokuja kuhudhuria Mkutano wa Shirikisho la Soka Afrika CAF.

SOMA NA HII  BAADA YA MAMBO KUWA SI MAMBO ....KANOUTE NAYE ASEPA SIMBA...ATAKA MAMILIONI KURUDI TZ....