Habari za michezo

YANGA YA INJII HERSI NI BALAA SANA….HIVI NDIVYO WALIVYOKAMLISHA USAJILI WA KISINDA KIJASUSI…SIMBA WALIMTAKA…

admin September 1, 2022 3:03 am


TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane.

Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani.

Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba iliyokamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameonekana akiongea naye na kumwambia kwamba karibu kwa mara nyingine Yanga.

Kisinda ameweka wazi kuwa anarejea kufanya kazi na yeye anajua majukumu yake huku mtu wake wa karibu akitonya kuwa Simba nao walikuwa wanamtaka mara baada ya kufeli kwa dili la Manzoki.

Unakuwa ni usajili wa kufungia kazi kwa Yanga ambayo imewasajili pia Gael Bigirimana, Bernard Morrison na Aziz KI.

ONYANGO KIMEELEWEKA SIMBA….KISINDA KARUDI YANGA…AMNG’OA MMOJA JANGWANI…KUANZA NA AZAM KESHO KUTWA… A-Z JINSI MZUNGU WA SIMBA ALIVYOPAPATUKA SUDANI  JANA USIKU…AL HILAL WASHINDWA KULIPA DENI….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply