Habari za michezo

BENDERA YA TANZANIA YAZIDI KUPEPEA AFRIKA…TWIGA STARS WAANZA KUGAWA DOZI MASHINDANO MAKUBWA …

admin September 3, 2022 1:41 pm


Mabingwa watetezi, Tanzania wameanza vyema michuano ya COSAFA kwa wanawake baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Comoro mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Madibaz mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.

Mabao ya Twiga Stars yamefungwa na Donisia Minja dakika ya 13 na Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ mawili dakika ya 41 na 52.

Baada ya mechi hiyo, nyota wa Twiga Stars Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ alipewa Tuzo ya Mchezaji Bora kwa soka nzuri aliyoonyesha huku akitoa mchango mkubwa kwa ushindi wa timu yake kutokana na kufunga mara mbili.

KUELEKEA MECHI IJAYO YA LIGI…AZAM FC WAKISIKIA HILI LA MAYELE…SIDHANI KAMA YANGA WATATOKA SALAMA… PAMOJA NA KUPATA USHINDI JUZI….KOCHA MAN UTD AINGIA UWOGA WA KUCHEZA NA ARSENAL…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply