Burudani

KIMEELEWEKA….PROMOTA AKUBALI OMBI LA MWAKINYO….PAMBANO KURUDIWA MWAKANIIII….

admin September 5, 2022 2:13 pm


Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema kutokana na refa wa pambano la jana kuwa ‘unfair’ kwake, Promota Benjamin Shalom, sasa wamefikia makubaliano ya kurudia pambano hilo na mpinzani wake, Liam Smith, Januari 23, 2023.

Usiku wa Septemba 3 2022 Mwakinyo katika pambano dhidi ya Muingereza Liam Smith lililochezwa jijini Liverpool England alipoteza kwa TKO round ya 4 katika pambano la round 12 ambalo hata hivyo lilikuwa gumzo kutokana na jinsi lilivyomalizika kwa utata.

“Kutokana na mchezo wa jana na kitendo cha Refa kuwa unfair kwangu kimemlazimu Promoter Benj Shalom kutupa nafasi ya re-match na Liam Januari 23,” ameandika Mwakinyo.

KUELEKEA MECHI YA KESHO….NABI ASHTUKIA JAMBO ZITO YANGA….KAMBI YA AZAM YACHUNGUZWA KIJASUSI… KURUDI KWA LIGI KUU….AHMED ALLY AANIKA NAMNA SIMBA WATAKAVYOSELELEKA…AZINDUA “GREEN CITY MISSION”…..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply