Home Burudani MGUNDA : HAWA WAMALAWI TUTAWAPIGA KAMA NGOMA…NIMEONA ‘MAPENGO’ YAO MENGI TU…

MGUNDA : HAWA WAMALAWI TUTAWAPIGA KAMA NGOMA…NIMEONA ‘MAPENGO’ YAO MENGI TU…


Kocha mpya wa Simba SC, Juma Mgunda, amesema kwa muda mchache aliokaa na timu yake hiyo mpya, amepata nafasi ya kuwasoma wapinzani wake na tayari amejipanga kuwakabili Nyasa Big Bullets wanaocheza nao leo Septemba 10, 2022.

Mgunda amesema ametazama clip za wapinzani wao hao katika Ligi ya Mabingwa, wameona ubora na udhaifu wao hivyo amewaelekeza vijana wake nini cha kufanya.

“Nimetazama clip zao, nimzengumza na vijana na uzuri ni kwamba na wao wameonesha kwamba wapo tayari kwa jili ya kupamba hicho ndiyo kitu ninachojivunia,” alisema Mgunda

SOMA NA HII  JESHI LA POLISI LASITISHA MKUTANO WA WANACHAMA SIMBA...SABABU NI HIZI