Habari za michezo

SIMBA QUEENS WAPEWA KAMSELELEKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE…CAF YAWAPA UHAKIKA…WAFELI WENYEWE TU…

admin September 10, 2022 8:52 am


Timu ya Simba Queens imepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na ASFAR ya Morocco,Green Buffaloes ya Zambia na Determines Girls ya Liberia.

Katika michuano hiyo itakayoanza Oktoba 30 hadi Novemba 13 nchini Morocco, Kundi B linaundwa na mabingwa watetezi, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Bayelsa Queens ya Nigeria, Wadi Degla ya Misri na mwakilishi wa ukanda wa UNIFFAC.

KISA TABIA ‘ZA KIHUNI’ KWENYE MCHEZO DHIDI YA YANGA…AZAM WAMKALIA KITAKO BAJANA…KOCHA MZUNGU ‘AMMAINDI’.. ACHANA NA RONALDO…HUYU HAPA STAA MWINGINE WA MAN UTD AMBAYE YUKO TOKA ENZI ZA FERGUSON…ANA ‘KIZIZI’ ..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply