Habari za michezo

AHMED ALLY : DEJAN NAYE HAKUWA CHAGUA LA KOCHA MAKI…SABABU YA KWANINI HACHEZI HIZI HAPA…

admin September 17, 2022 10:51 am


Semaji la Simba SC, Ahmed Ally amesema Mzungu wa Simba Dejan bado yupo sana kwenye kikosi chao hivyo wale wanaodhani ataondoke, wakae kwa kutulia.

Ahmed ameyasema hayo mapema jana Septemba 16, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi TV ambapo alipoulizwa kuhusu suala la Dejan kama alikuwa chaguo la aliyekuwa Kocha Mkuu Zoran Maki na ameeondoka hivyo huwenda naye akaondoka ndipo akasema mchezaji huyo yupo sana.

“Kuweka sawasawa Dejan sio chaguo la Zoran. Kutocheza hizi mechi tatu ni mipango tu ya mwalimu nadhani anaendelea kumweka sana anaonekana, mzungu bado yupo sana. Ndiye mchezaji mwenye mkataba wa muda mrefu sana zaidi Simba,” alisema Zoran.

MAMBO YAMEKUWA MAMBO SIMBA….MGUNDA APIGIWA KAMPENI YA UKOCHA…MASHABIKI HAWAELEWI NENO JUU YAKE… HILI HAPA KINDA LA YANGA LINALOWATOA UDENDA WAFARANSA…MARSEILLE WATUMA MTU KUMBEBA…ZAHERA ATEMA ‘UBUYU’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply