Home Habari za michezo BAADA YA USAJILIWA KISINDA….TARAJIA MABADILIKO HAYA KWENYE KIKOSI CHA YANGA…PANGA LAZIMA LIPITE…

BAADA YA USAJILIWA KISINDA….TARAJIA MABADILIKO HAYA KWENYE KIKOSI CHA YANGA…PANGA LAZIMA LIPITE…


KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani.

 Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa.

 Nyota hao 11 wanaweza kuwa namna hii:-

  1. Diarra Djigui
  2.  Djuma Shaban
  3.  Dickson Job
  4.  Yannick Bangala
  5.  Joyce Lomalisa
  6.  Feitoto
  7. SureBoy
  8. Tuisila Kisinda
  9.  Aziz KI
  10. Bernard Morisson
  11. Fiston  Mayele
SOMA NA HII  GEITA GOLD:TUNAWAHESHIMU YANGA ILA TUNATAKA POINTI TATU