Home Habari za michezo HII HAPA TIMU KUTOKA ZNZ ILIYOANZA MASHINDANO YA CAF KIBABE….INANAFASI KUBWA YA...

HII HAPA TIMU KUTOKA ZNZ ILIYOANZA MASHINDANO YA CAF KIBABE….INANAFASI KUBWA YA KUTINGA MAKUNDI…


Timu ya Kipanga ya Zanzibar imetoa sare ya 1-1 na Al Hilal Wau y Sudan Kusini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikuwa wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa hatua za awali.

Timu hizo zitarudiana Septemba 17 Uwanja wa Amaan, Zanzibar na mshindi wa jumla atasonga mbele.

SOMA NA HII  BAADA YA KUKIWASHA JUZI NA KUFUNGA GOLI...AMBUNDO AVUNJA UKIMYA YANGA...AFICHUA SIRI HII..