Home Taifa Stars ORODHA YA WACHEZAJI STARS WALIOKWEA PIPA KUELEKEA DR CONGO

ORODHA YA WACHEZAJI STARS WALIOKWEA PIPA KUELEKEA DR CONGO


ORODHA ya wachezaji 23 wa timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars kilichokwea pipa kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia.

Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen inatarajia kutupa kete yake Septemba 2, kwenye orodha hii nahodha Mbwana Samatta ataibukia Congo.


SOMA NA HII  TANZANIA 0-1 UGANDA TAIFA STARS WALA KICHAPO...NDOTO ZA AFCON BYE BYE...MICHO AONYESHA UBABE