Home Ligi Kuu ORODHA YA WATUPIAJI BONGO

ORODHA YA WATUPIAJI BONGO




 LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21 umekuwa na ushindani mkubwa katika kila Idara ambapo kwenye vita ya kiatu cha ufungaji bora mambo bado ni moto, mwenye kiatu chake Meddie Kagere ambaye msimu uliopita alitupia mabao 22 yupo sawa na Prince Dube wa Azam. 

Cheki orodha ilivyo ikiwa kwa sasa ni mzunguko wa pili:-


SOMA NA HII  BAADA YA KUSIKIA SIMBA WATASHUSHA 'FULL KIKOSI'...KOCHA KAGERA SUGAR AGUNA KISHA AFUNGUKA HAYA...