Home Habari za michezo N YANGA TENA….WAZIMA MAZIMA TETESI ZA MAYELE RASMI….HAKUNA CHA KWENDA MISRI...

N YANGA TENA….WAZIMA MAZIMA TETESI ZA MAYELE RASMI….HAKUNA CHA KWENDA MISRI WALA MOROCCO…


Baada ya kusambaa kwa tetesi za kuondoka kwake akihusishwa na timu za Afrika ya Kusini, misri na Morocco, hatimae mshambuliaji wa Yanga Fiston Kalala Mayele ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Yanga.

Mayele ambae aliibuka mfungaji bora kikosini hapo atasalia katika klabu hiyo mpaka mwaka 2024, baada ya mkataba wake wa awali uliokuwa unaisha mwaka 2023.

Tangu alipojiunga na Yanga Mayele amefanikiwa kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2021/22, Kombe la Azam na Ngao ya Jamii (2).

Mpaka sasa mayele amefanikiwa kuifungia Yanga magoli mawli katika michezo miwili aliyocheza msimu huu 2022/23.

SOMA NA HII  MAYELE AFUNGUKA ALICHOMSHAURI FEI TOTO KABLA YA SAKATA LAKE