Home Simba SC KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI DAR KIKITOKEA AFRIKA KUSINI

KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI DAR KIKITOKEA AFRIKA KUSINI

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes leo Mei 17 kimewasili salama Tanzania kikitokea nchi Afrika Kusini.

Kimeongonzana na viongozi wake ikiwa ni pamoja na Crestius Magori ambaye alikuwa Kwenye msafara huo.

Afrika Kusini kilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs hivyo kinarudi kwa ajili ya maandalizi ya robo fainali ya pili ya marudio katika Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 22, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  KUHUSU KUONGEZEWA MKATABA MPYA ....UONGOZI WAJIVUA KIAINA KWA MORRISON...AHMED ALLY ATOA MSIMAMO HUU..